Home > Terms > Swahili (SW) > kuongoza kutoka nyuma

kuongoza kutoka nyuma

Msemo ambao unasemekana kutumika na Ikulu ya Rais Obama kuelezea vitendo vya Marekani huko Lybia kama "kuongoza kutoka nyuma." msemo huu umeweza kuibua malumbano mengi kati ya Ikulu na Jarida la The New Yorker ambalo lilichapisha makala asilia ya yakimweleza mshauri wa Obama na kuonyesha vitendo vya Rais kule Lybia kuwa "kuongoza kutoka nyuma." Ikulu ya White House imekana kuwahi kutumia msemo huo.

Kinyume na Kampeni nyingi zilizoongozwa na Marekani Uarabuni, ambazo ziliwalenga Saddam Hussein wa Iraq na kundi la Taliban kule Afghanistan, Marekani ilichukua jukumu la pili kwenye vita vilivyoongozwa na Ufaranza huko Lybia ambavyo vilipelekea kukamatwa na kuuawa kwa Muammar Gaddafi.

0
  • ส่วนหนึ่งของคำพูด: noun
  • คำเหมือน:
  • Blossary:
  • อุตสาหกรรม/ขอบเขต: Government
  • Category: American government
  • Company:
  • ผลิตภัณฑ์:
  • ตัวย่อ-อักษรย่อ:
เพิ่มสู่อภิธานศัพท์ของฉัน

คุณต้องการจะพูดอะไร?

คุณต้องเข้าสู่ระบบเพื่อโพสต์ข้อความสู่การอภิปราย

Terms in the News

Featured Terms

ogongo3
  • 0

    Terms

  • 0

    คำศัพท์

  • 3

    Followers

อุตสาหกรรม/ขอบเขต: People Category: Musicians

Michael Jackson (almasi, Watu, wanamuziki)

Zilizonakiliwa aina ya Pop, Michael Joseph Jackson (29 Agosti 1958 - 25 Juni 2009) alikuwa msanii wa muziki wa Marekani sherehe, mchezaji, na ...

ผู้สนับสนุน

Featured blossaries

Basketball Fouls

ประเภท: Sports   1 10 Terms

Simple Body Language Tips for Your Next Job Interview

ประเภท: Business   1 6 Terms